أحمد محمد لبن Ahmad.M.Lbn مؤسس ومدير المنتدى
عدد المساهمات : 52644 العمر : 72
| موضوع: 109 - AL - KAFIRUN الجمعة 26 أكتوبر 2018, 11:26 pm | |
| 109 - AL - KAFIRUN KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. 1. Sema: Enyi makafiri! 2. Siabudu mnacho kiabudu; 3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 4. Wala sitaabudu mnacho abudu. 5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. |
|